STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
10 |
Kwa kutumia mifano ya kazi za kifasihi na zisizo za kifasihi Ongoza majadiliano ya vikundi kuhusu tofauti za kifani za kazi hizo. |
Wanafunzi wadadisi tofauti hizo na kuziwasilisha darasani |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
40 |
Ongoza majadiliano na kufikia hitimisho la dhana ya fasihi |
majadiliano ya matumizi na umuhimu wa kazi mbalimbali za kifasihi katika jamii. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
10 |
Ongoza kutumia hadithi, nyimbo, methali na nahau wanafunzi wajadili katika jozi matumizi na umuhimu wa kazi za kifasihi katika jamii. |
Kwa kutumia hadithi, nyimbo, methali na nahau wanafunzi wajadili katika jozi matumizi na umuhimu wa kazi za kifasihi katika jamii. |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mweziMazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
10 |
Ongoza kutumia hadithi, nyimbo, methali na nahau wanafunzi wajadili katika jozi matumizi na umuhimu wa kazi za kifasihi katika jamii. |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
10 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |